Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, May 15, 2014

 
Maafisa wakuu nchini Kenya wanasema kuwa yeyote atakeyepatikana na hatia ya  ya kutuma ujumbe wa kingono ama picha za utupu atafungwa jela kifungo cha miezi mitatu kwenda chini.Afisaa mkuu kutoka tume ya kitaifa ya mawasiliano, Christopher Wambua ameambia vyombo vya habari nchini humo kwamba watu wenye tabia hiyo watatozwa hadi shilingi elfu hamsini za Kenya au dola miatano na themanini na nane kama faini au kufungwa jela..Onyo hilo litawaandamana hasa wale walio na uzoefu wa kutumiana ujumbe kama huo kupitia kwa simu ya mkononi au kwenye internet.
Kwa mujibu wa taarifa za serikali,kiwango ambacho watu hutumiana ujumbe wenye mada ya ngono pamoja na picha za watu walio watupu wenyewe au za mtu mwingine kwa simu zao za,smartphone ilipanda hadi asilimia sitini.

0 comments:

Post a Comment