Segun Oyeyiola ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo cha Obafemi
Awolowo University of engineering,Segun ametumia vema sehemu ya mwaka huu na kutia ubunifu katika gari aina ya Volkswagen Beetle itakayotumia nishati ya upepo na solar.
Segun Oyeyiola amesema sababu kubwa ya kuchukua umuda wake na kufanya ubunifu huo ni kwamba anafikiria sana kupunguza madhara yatokanayo na carbon dioxide katika anga la dunia madhara yanayopelekea mabadiliko ya tabia nchi yenye matokeo mabaya.Segun anaongezakusema huu ni mradi wake binafsi “This was my personal project because of the
problem I’m planning to solve.
Thursday, May 15, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment