Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 17, 2015

Kanye on New Kendrick Album
Albamu ya Kendirck Lamar "To Pimp A Butterfly" imetoka jana tareh 16 March ikiwa ni siku 8 kabla ya tarehe iliyotajwa kutoka albamu hiyo ambayo ilipangwa kutoka March 24th,lakini kwasababu ilivuja ikabidi iachiwe.Rappa Kanye West ni mmoja kati ya watu waliopata albamu hiyo mapema kabisa na kuisikiliza na hiki ndicho alichosema kupitia akaunti yake y Twetter:
“KENDRICK IS AN INSPIRATION. THANK YOU FOR THE VIBRATIONS AND THE SPIRIT. YOUR MEANING, MESSAGE AND EXECUTION ARE GIFTS TO THE WORLD.”
 Ukiachilia mbali rappa Kanye West albamu hiyo imepata baraka za mastaa kibao wakiwamo Taraji P. Henson ambaye alitajwa kuchagua ngoma yeyote anayotaka itoke toka katika albamu hiyo,mwingine ni mtoto wa Michael Jackson,Prince.

0 comments:

Post a Comment