Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 18, 2015

 
Rappa mwenyeji wa Compton,Kendrick Lamar amejitengezea history kufuatia albamu yake ya tatu na mpya To Pimp a Butterfly kusikilizwa na idadi kubwa ya watu siku moja tu baada ya kuachiwa.
Taarifa kwa mujibu wa Billboard, zinasema,albamu hiyo yenye nyimbo 12 ambayo imetoka wiki moja kabla ya tarehe iliyopngwa,imesikilizwa na zaidi ya mara milioni 9.6 na kuuza zaidi ya nakala 44,60 ikiwa ni siku ya kwanza tangu kuachiwa na kuvunja rekodi iliyokuwa ikishikiliwa na Michael Buble,Christmas.
To Pimp a Butterfly kwasasa ndiyo albamu inayoshikilia No. 1 katika iTunes.
 Kendrick amepata ujumbe wa pongezi toka kwa mastaa Mac Miller, Justin Timberlake na Kanye West.
Kanye West aliandika ujmbu huu katika akaunti yake ya Tweeter:

KENDRICK IS AN INSPIRATION. THANK YOU FOR THE VIBRATIONS AND THE SPIRIT. YOUR MEANING, MESSAGE AND EXECUTION ARE GIFTS TO THE WORLD.
  Justin Timberlake        :Just getting into it but WOW. That boy @kendricklamar!!!!
 

0 comments:

Post a Comment