Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 16, 2015


 Nelly Headlines Iraqi Show In Support Of Victims Terrorized By ISIS
Rappa Nelly ametumbuiza katika tamasha la uchangishaji (benefit concert) kwaajili ya kuwa.. waathirika wa mashambulizi ya ISIS huko kaskazini mwa Iraq,Kurdistan.

Kwa mujibu wa mtandao wa Rwanga Foundation ambao ni waandaaji wa tamasha hilo,wamesema rappa Nelly amekuwa muamerica wa kwanza kutumbuiza katika ardhi ya Iraq katika historia ya takribani miaka 8,000 ya mji huo.
Nelly aliwaburudisha takriban watu 15,000 waliohudhuria na kuwaambia watoe mawazo yao katika matukio mabaya na wafikirie shughuli za maendeleo na kuitafutiza badala ya kufikiria visasi kwa ISI.

Picha chini Nelly akiwa na baadhi ya viongozi wa Iraq.

 View image on Twitter




0 comments:

Post a Comment