Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 16, 2015

Rihanna

Rihanna anatengeneza history kwa mara nyingine.Muimbaji huyo mwenye asili ya Bajan amekuwa mrembo mweusi wa kwanza kuwa msemaji wa bidhaa za Dior.
Manam,uziku huyo mpenzi wa mitindo pia ametajwa kushiriki katika sehemu ya nne ya muendelezo wa video ya mitindo ya French fashion house’s “Secret Garden” ambayo ina mamilioni ya mashabiki ambapo wataona kupitia chaneli maalumu ya Diors YouTbe.

Rihanna anaingia katika orodha ya mastaa waliotumika kutangaza bidhaa hizo kama actresses Natalie Portman, Jennifer Lawrence na Marion Cotillard ambaye ndiye kisura wa bidhaa hizo.

Rihanna tayari ametumika katika kampeni kama za Balmain, Gucci, Armani na hivi karibuni alitajwa kuwa mkurugenzi wa maswala ya ubunifu wa bidhaa za Puma.

0 comments:

Post a Comment