Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, March 14, 2015

 
Lil Wayne inaonekana hamzimii kabisa coco labda ikiwa O.T. Genasis anaporap.Wayne aligeuka mbogo alipokuwa akitumbuiza ktika tamasha la chuo siku ya alhamisi.
Tamasha lilifanyika katika chuo cha Nova Southeastern University ambapo Wayne alitumbuiza nyimbo 7 kabla ya Dj kwa bahati mbaya kuoiga wimbo original wa O.T. Genasis wimbo ambao Wayne ameshiriki katika remix yake ambayeo inapatikana katika mixtape ambayo Wayne ameidiss Cash Money.

Badala ya Dj kupiga remix alipiga original ambyo amerap coco ndipo Lil Wayne alipokasirika na kugeuka mbogo na kutupa kipaza sauti na kuondoka jukwaani.


0 comments:

Post a Comment