Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 5, 2015



Mpambano kati ya mabondia Floyd Mayweather na Manny Pacquiao ulikuwa ni mpambano mkubwa na wakihistoria katika ukanda wa mchezo huo wa masumbwi hivyo haikushangaza kusikia kile kiasi kikubwa walicholipwa mabondia hao.

Manny Pacquiao kutoka katika mgao mgao wake ambao ni dolla millioni 40 ametangaza ataugawa nusu ambayo ni dolla millioni 20 kwa vituo maalumu vya misaada,watu wa uphipino na watu waliokuwa naye bega kwa bega.
Katika kuthibitisha hayo,promoter wa Manny Paquiao bwa Bob Arum amesema: “I’m sure half of what Manny earns in this fight is going to go to charity. That is just Manny. We don’t like to talk about money too much as more charities line up.””
Pacquiao ni m bunge mteule kwao nchini Phillipines.

0 comments:

Post a Comment