Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, May 5, 2015

 Billionaire Aliko Dangote
Tajiri namba moja Africa,bw Aliko Dangote,aesema bado anampango wa kukinunua kilabu kinachoshiriki ligi kuu ya mira wa miguu uingereza maarufu kama English Premier,Arsenal,japo alishindwa mnamo mwaka 2010.
Tajiri huyo toka Nigeria,Dangote, ni shabiki wa Arsenal na anakadiliwa kuwa na utajiri wa zaidi ya kiasi cha dolla billioni 15.7 billion,tajiri huyo bado yupo katika maongezi na wamiliki kununua hisa kubwa katika kilabu hicho cha Arsenal tangu miaka mitano iliyopita.
Bw Dangote mwenye umri wa miaka 58 alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alisema:“I still hope, one day at the right price, that I’ll buy the team,”I might buy it, not at a ridiculous price but a price that the owners won’t want to resist. I know my strategy.”
 Arsenal ni moja kati ya vilabu vya uingereza vyenye mafanikio makubwa  mashabiki wengi duniani kote.

0 comments:

Post a Comment