Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, May 1, 2015

 
Suge Knight anaweza kutoka jela hivi karibuni tu ikiwa kilichosemekana kwamba mshikaji wake wa siku nyingi,bondia Floyd Mayweather atamlipia kiasi cha dola millioni 10 (tshs 200,000,000) kama dhamana amesema Layer wa Knight.
Mdau huyo mkubwa wa muziki wa hiphop kwa sasa yupo jela tangu january 29  alipofanya tukio la kuwagonga watu wawili na kusababisha umauti kwa mmoja wao huko Compton.

Mwanasheria huyo wa Knight, Matthew Fletcher, amesema anaamini bondia Mayweather atamwekea dhamana mwanzilishi huyo wa Death Row Records baada ya mpambano wake na Manny Pacquiao utakaofanyika wikiendi hii huko Las Vegas.

“We think Mr. Mayweather is going to win the championship and then come champion the day again,” he said. “They’re good friends, and there’s no reason he shouldn’t. And we believe that will happen.”
Knight, 50, appeared in court on Thursday and pleaded not guilty to murder. His trail is set for July 7.

0 comments:

Post a Comment