Lauryn Hill aliimba na kujirekodi katika video na kupost katika ukurasa wake wa Facebook sehemu ya wimbo wake wa "Doo Wop (That Thing)" kama sehemu ya kuwaomba radhi mashabiki wake waliokuwa wakimsubiri kwa hamu na yeye kushindwa kutokea Lagos, Nigeria siku ya ijumaa (May 1).Lauryn Hill sambamba na kipande hicho cha video alituma ujumbe huu:"We are disappointed to report that we will not be performing at tonight's concert,” we did everything we were supposed to do,
including waiting at the airport for many hours, ready to fly out and
share the evening with you. Unfortunately, after much effort, the
promoter was not able to get all of our travel arrangements taken care
of.
Akimaanisha:tunajisikia vibaya sana kwamba sitotumbuiza katika tamasha leo usiku,tumejitahidi kufanya kila liwezekanalo kufanikisha ikiwwa ni pamja na kufika mpaka uwanja wa ndege na kusubiri lakini muandaaji wa tamasha hilo hakukamilisha yale tuliyokubaliana ikiwemo kufeli kukamilisha tiketi za ndege.

0 comments:
Post a Comment