Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 10, 2016

 Ciara and Future
Ciara kum buruza Future mahakamani.
Hit maker huyo wa The “Body Party”amefungua kesi na kutaka alipwe kiasi cha dola milioni 15 na aliyekuwa mchumba wake na babab wa mtoto wake,rappa Future kwa kile alichodai kudhalilishwa hadharani.
Katika sehemu ya mshtaka aliyofungua Ciara amesema,rapa huyo amewahi kuongea katika mahojian na redio fulani kwamba anamtumia mtoto kutengeneza kiki yeye na mpenzi wake wa sasa ambaye ni mchezaji wa Seattle Seahawks ,Ciara pia ametaka tweet zote zenye kuashiria unyanuasaji zifutwe katika akauntu ya Future.
Ciara pia amedai Future kamuona mtoto wao mara zisizozidi 19 tangu mwezi December 2014.  Ciara na Future walitangazwa kushindwana uchumba mwaka 2014, ikiwa ni miezi kadhaa ilipita tangu wapate mtoto wa kiume Future Zahir Wilburn.

0 comments:

Post a Comment