Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 10, 2016

 DMX Released From Hospital After Asthma Attack
DMX mwenye umri wa miaka 45 achungulia kifo.The hip-hop superstar huyo alikutwa apumui wala moyo haudundi huko Yonkers, New York siku ya jumatatu(Feb. 8).
Mtandao wa kidaku wa habari za mastaa,TMZ,umeripoti kwamba polisi walifika eneo la tukio mida ya saa 12 jioni baada ya kupokea simu ya emergency kwamba kuna mtu ameanguka ha haoneshi dalili za kupumua wala moyo wake kudunda ,polisi walipofika eneo latukio walimkuta DMX amelala chini hapumui na viungo vimelegea ndipo walipomfanyia huduma ya kwanza ya CPR (Cardiopulmonary resuscitation ) “ndipo walipofanikiwa kumfanya aanze kupumua.
Chanzo cha kukutwa na hali hiyo ni pumu (asthma) nsiyo drug overdose kama wengi walivovumisha.

Rapa DMX aliruhusiwa kutoka jana (February 9) baada ya madaktari kujiridhisha na hali yake.

Habari za rapa DMX' kupona zilitangazwa na mwanasheria wa rapa huyo bw Murray Richman.
Swizz Beatz pia amethibitisha kwa kusema ameongea na DMX amemuhakikishia anaendelea vizuri.
Swizz alisema:"Just got off the phone with the DOG,". "He's good and in great spirits Thanks for all the blessings ?? @Dmx the Great!"

0 comments:

Post a Comment