Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 23, 2016



 Duka la rapa na mwanamitindo Kanye West‘la Pablo pop-up shop la  New York City limefungwa ila limeonyesha mafanikio makubwa kwa bosi wa G.O.O.D. Music mpaka kufikia kukiri kupitia akaunti yake ya Twitter kwamba ameingiza mkwanja wa kutosha.
Duka hilo lililofunguliwa ijumaa mpaka jumapili lililopewa jina la The Life of Pablo,limehusika na kuuza bidhaa nyingi za reja reja za Kanye lilipelekea maelfu ya watu kupanga foleni kuanzia alfajiri nje ya duka hilo lililopo New York 
Kupitia akaunti yake ya Twitter Kanye alijigamba hajapata kuona bidhaa kuuza kiasi cha dola millioni ndani ya siku 2.
Pamoja na mafanikio na faida kubwa aliyoipata rapa Kanye West bado hajatoa kauli kama atafanya tena bishara hiyio ya kuuza bidhaa zake rejareja katika duka hilo NY.

0 comments:

Post a Comment