Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, March 23, 2016


Tamasha la The BET Experience imerejea na mara hii imekuja na kishindo kikubwa kwani imetaja kuwashirikisha mastaa wakubwa wa f hip-hop and R&B’kama Lil Wayne, 2 Chainz, Usher, na Bryson Tiller.
Tamasha la hilo laThe BET Experience ambalo hufanyika siku nne mara hii litafanyika mwezi June 23-26 huko L.A. Live downtown Los Angeles, ambapo litaanza kwa kupambwa na comedi toka kwa wakali  f Katt Williams na Mike Epps.
Usher na Bryson Tiller watakonga nyoyo za wapenzi wa muziki wal R&B huku apenzi wa muziki wa hiphop watatulizwa na Lil Wayne na.
 Mwaka uliopita BET Experience ilipambwa na mastaa Nicki Minaj, Snoop Dogg, Ice Cube,na Kevin Hart.
Tiket za onyesho la kwanz na la pili zitaanza kuuzwa mwezi April 1 kuanzia saa 4 asubuhi kwa kiasi cha dola 49.50,huku tiketi za kuanzia onyesho la 3 zitauzwa kwa dola148.50..

0 comments:

Post a Comment