Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 22, 2016


 Member wa Cash Noney,Mannie Fresh ambaye ni Rapper, record producer, DJKeyboard, SynthesizerBass guitar 
 amesema pamoja na kuwaungani na kuwakutanisha mastaa Lil Wayne, Juvenile,na Birdman mwezi uliopita lakini bado mambo hayajakaa sawa kabisa na hawezi kusema matatizo ndani ya Cash Money yamemalizwa.
Akiongea na waandishi wa mtandao wa Genius mapema mwezi huu rapa Mannie Fresh amesema yeye ataendelea na kazi zake japo kampuni yao kwa sasa imetawaliwa na kile alichokiita drama.
Mannie Fresh aslisema:“Everything is not resolved with [Birdman] and Wayne, but I overcame it by saying to them, ‘We can resolve all that behind the curtain, but for now, let’s make music for the people,'” akimaanisha matatizo bado hayajaisha kati ya Birdman naWayneila huw anaongea nao kuwa watayamaliza ndani kwandani ila kwasasa tufanye kazi ya muziki kwaajili ya mashabiki.

Mannie pia amewataka watu na vyombo vya habari wajue tatizo hilo siyo la kazi ni la kifamilia zaidi na kama mnavyofahamu ndani ya familia  mabishano na majibizano yamo.

0 comments:

Post a Comment