Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 31, 2016



Jay Z imetangazwa atatumia mtandao wake wa kusambaza na kutangaza kazi za muziki na wanamuziki iwa Tidal kuanza kushughulika na biashara ya kusambaza na kutangaza kazi za filamu.
Watu kadha wahusika na mtanfdao huo wamesema viongozi wa TIDAL wapo katika hatua za mwisho za maelewano na wadau na wahusika na kiwanda cha filamu ili wafanye biashara kupitia mtandao huo.

Tidal wapo katika mazungumzo na Apple na taarifa zinasema wanaweza kuanza kufanya kazi mwezi june.


Tidal imefikisha mwaka mmokja wiki iliyopita.
Mtandao huo umetajwa kuongeza mauzo ya kazi za wanamuziki na unawanachama zaidi ya milioni 3 huku ukiwa unashughulika na uuzaji na usambazaji wa kazi za mastaa kama  Lil Wayne, T.I., Damian Marley, , Kanye, RiRi na Jay. Albamu mpya ya Kanye“The Life of Pablo,”imeshushwa zaidi ya mara milioni 250  katika siku zake 10 za mwanzo.

0 comments:

Post a Comment