Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 1, 2016

Ice Cube: "Without N.W.A, There Would Be No Eminem"
 Straight Outta Compton ndiyo filamu inayotajwa kuwa na mafanikio zaidi iliyoigizwa na wamarekani weusi 2015 na kuingiza zaidi ya dola millioni 161.

Akiongea na mwandishi wa The Plain Dealer,Ice CUbe amesema haikuwa kazi rahisi kuyaweka maisha watu ya miaka 10 katka masaa mawili huku unatakiwa kuwahusiha wanachama wanne wa N.W.A ambao wapi jumlisha na mjane wa e Eazy-E.
N.W.A Ilikuwa kundi la vijana watano waliokuwa wakijaribu kufanya kitu ambacho leo tunaona wengi wamefanikiwa kupitia muziki wa Hiphop na rap kama Eminem,hivyo bila N.W.A kusingekuwapo marapa mastaa na wenye mafanikio kwa kuuza zaid kazi zao kama Eminem.’'

0 comments:

Post a Comment