Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 6, 2016

 
Akiongea katika mahojiano na  DJ Enuff on The Heavy Hitters Shade 45 radio show  50 Centaliendeleza utaratibu wake wa kumponda na kumrushia vijembe Puff Daddy.50Cent ambaye anatangaza bidhaa za vinywaji za Effen Vodka na Puff Daddy anayetangaza Ciroc wamekuwa katka vita ya maneno mara kwa mara huku kila mmoja akijitamba kwa namna yake.
50 Cent ambaye ni bosi wa G-Unit amejigamba kwamba si wakufananishwa kiuwezo na Puff Daddy kwasababu 50 anafanya yeye kama yeye wwakati Diddy anategemea wasanii anaowaajiri Bad Boy .
50 Cent alisema:"He's a guy who stands next to the guy,"si yeye mfanyaji kazi bali ni mtu anayetumia watu kujineemesha na kulisafisha jina lake aonekane labda ni msanii ya yeye,tofauti na mimi ambaye nafanya mimi kama mimi na nashirikisha watu.Diddy amejitengenezea njia na kuonekana msanii ubwa wakati kazi zilikuwa zikifanywa na wakina Biggie , Craig Mack, Ma$e, The LOX, [Lil'] Kim. Diddy si rapa wala msanii bali naweza kusema ni party promoter, a businessperson, a producer.

0 comments:

Post a Comment