Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 5, 2016

040416-suge-knight-tmz-02
Mwanasheriwa wa Suge Knight amewashitaka Maofisa wa usalama wa L.A. wanaosemekana kumfungulia mlango mtu ambaye alimshambulia kwa risasi 7 Suge Knight'.
Mawanasheria huyo mpya wa Suge, Thaddeus Culpepper, alifungua mashtaka akiwatuhumu maofisa wa usalama waliokuwa kazini katika eneo la club ambapo mteja wake alishambuliwa na risasi 7 mwilini kwa kusema ushahidi wa video unaonyesha wazi kwamba mtu huyo mshambuliaji aliruhusiwa na wanausalama hao bila kumsachi na dakika kadhaa baadaye mtu huyo alimshambulia Suge kwa kummiminia risas 1 OAK in WeHo -- for the 2014 VMA weekend when he let the shooter inside the club.

Mawanasheria huyo mpya wa Suge katika sehemu ya mashitaka ameandika kwamba mshambuliaji alipokamatwa na kuhojiwa alikiri kwamba yeye na mwenzake walilipwa na Dr. Dre dola 500,00 ili wamuue Suge lakini cha kusangaza maofisa wa polisi walimuachia huru mtut huyo

0 comments:

Post a Comment