Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 5, 2016

Iggy Azalea Struck With $400,000 Tax Lien

Iggy Azalea akutna na bili kubwa ya deni la kodi linalotajwa kuwa ni zaidi ya dola za kimarekani 400,000.
Ripoti zaidi toka katika vyombo vua habari zinasema rapa huyo wa kike mwenye asili ya Australia amepigwa bili ya dola 391,056.55 kama madeni ya kodi kwa mapato ya albamu yake ya mwaka 2014, The New Classic .
Albamu hiyo ilimuingizia rapa huyo wa kike zaidi ya dola millioni 2.5 na iliuza zaidi ya nakala 52,392 katika mauzo ya wiki yake ya kwanza.
Iggy Azalea si pekee aliyekutwa na bnili ya kukwepa kulipa kodi mwaka huu,mnamo mwezi wa pili  aliyekuwa bosi wake na mmiliki wa lebo za Grand Hustler,TIP aliripotiwa kuwa na limbikizo la madeni huku ma rapa mastaa,Nas na Lil Wayne nao wakipelekewa bili za mamilioni ya dola.

0 comments:

Post a Comment