Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 5, 2016

 

Mawaka 2016 mi kama mwaka fulani kwa matukio makubwa kimuziki hasa katika kipindi cha  summer.Siku ya jumatatu ilitajwa orodha ya ma mc wakali watakaoongoza shughuli nzima ya tamasha maalumu la muziki wa hiphop ambalo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka huu liaesabika la 12,Brooklyn Hip-Hop Festival lililotajwa kuongozwa na marapa Nas na Fabolous ambao ni wenyeji wa Brooklyn na Queens.Tamasha hilo la Hiphop Music Festival litafanyika siku 3,kuanzia   July 13 hadi 16th na litafanyika mahala panapofahamika kama Brooklyn Bridge Park.


Tamasha la Brooklyn Hip-Hop Festival mwaka jana wa 2015 liliongozwa na rapa toka Chicago,Common na mwaka 2014 liliongozwa na Raekwon wa Wu-Tang.

0 comments:

Post a Comment