Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 4, 2014

 0303-chris-drake-rihanna-02
Mtandao wa TMZ unaripoti Chris Brown yupo poa na hashtushwi wala kuchukizwa na hali ya aliyekuwa hasimu wake mkubwa,Drake kusikia anatoka na aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna.

Mtu wa karibu na Chris ameiambia TMZ hana mpango na habari hizo zaidi ameweka akili yake katika kutengeneza mkwanja na kurudi kivingine katika kazi yake ya muziki.Mwaka 2012 ulitokea ugomvi mkubwa wa kurushiana vyupa kati ya  Brown/Drake ndani ya WIP nightclub huko NYC huku sababu ikisemekana ni Rihanna.
Brown kwa sasa yupo katika darasa maalumu la kujifunza kuzikabili hasira ambapo alishamaliza siku 90 na sasa anamalizia siku nyingine 60 alizoamriwa na hakimu juzi.

0 comments:

Post a Comment