Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, April 11, 2014


Mama huyo wa watoto wawili wa Michael Jackson amesema ana mpango wa kwenda mahakamani kuomba kupewa kibali cha kuwachukua watoto wake na mwenzo ikibidi.Akiongea na waandishi wa mtandao wa TMZ Rowe sabau kubwa inayompelekea kutaka kuwachukua watoto hao ni mazingira anayoyaona kwani anaona kama bibi yao ambaye ni Katherine Jackson nimzee mno kuwalea watoto hao na katika mstari.Rowe ametoa kasoro za TJ Jackson ambaye ni kaka wa M.J aliyepewa jukumu la ulezi msaidi . amesema shemeji yake hawezi kuwa na muda mzuri wa uangalizi kwa watoto kwani mara zote yupo katika ziara za muziki.
Rowe atafungua mashtaka kuomba apewe kibali cha kuwaangalia watoto na chanzo kimopja cha karibu kimesema mama huyo hana mpango na mali wali fedha za mirathi.

Michael Jackson ameacha watoto wtatu ambao ni Prince,Blanket na Paris.

0 comments:

Post a Comment