Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 28, 2014

 0427-v-stivano-donald-sterling-getty-instagram-01
Rais Obama,Lil Wayne,Snoop Dogg,& Meek Mill ni moja kati ya watu maarufu ulimwenguni ambao wamefedhehesshwa na kauli za kibaguzi za mmiliki wa timu ya mpira wa kiakapu inayoshiriki ligi ya NBA, Los Angeles Clippers bwana Donald Sterling.Na hii ndiyo kauli ya maneno makali na ya kibaguzi toka kwa mmiliki wa timu ya mpira wa kiakapu  ya Los Angeles Clippers bwana Donald Sterling kwenda kwa mpenzi wake V. Stiviano:Don't Bring Black People to My Games ...Including Magic Johnson akimaanisha usiniletee watu weusi katika mechi za timu yangu.

Akaendelea kusema: It bothers me a lot that you want to broadcast that you’re associating with black people. Do you have to?"
-- "You can sleep with [black people]. You can bring them in, you can do whatever you want.  The little I ask you is not to promote it on that ... and not to bring them to my games.
-- "I’m just saying, in your lousy f******* Instagrams, you don’t have to have yourself with, walking with black people.
-- "...Don't put him [Magic] on an Instagram for the world to have to see so they have to call me.  And don't bring him to my games.
Kauli hizo za zimezua utata mkubwa na kupelekea watu wengi wa America wenye asili ya Africa kukasilishwa na wengine kushindwa kuzuia hisia zao na kutumia mitandao ya kijamii kumfikishia ujumbe mmiliki huyo wa timu ya mpira wa kiakapu inayoshiriki ligi ya NBA, Los Angeles Clippers bwana Donald Sterling.
Lil Wayne On Donald Sterling's Statements: I Wouldn't Be A Clipper Fan Or Player
Rappa Lil Wyne ametuma kipande cha video kinachosema:
“This is dedicated to motherf****n’ Donald Sterling,” said Wayne. “F**k you! If I was a Clippers fan, I wouldn’t be one any more. It’s that simple.”
Vilevile Wyne akaongeza kusema: “You wouldn’t see me on the court anymore. An apology wouldn’t do for me, it wouldn’t work for me. … If I was a current Clipper, I wouldn’t be any more.”
Naye rappa Snoop Dogg ametuma kipande cha video kinachosema:“A message to the muthafucka that own the Clippers,” Snoop Dogg says in his post. “You bi**h-a**, redneck, white-bred, chicken shit muthafucka: F**k you, your momma and everything connected to you you racist piece of shit. F**k you."
Pichni chini ni V Stiviano akiwa na mchezaji wa zamani wa kikapu wa ligi ya NBA Magic Johnson.
 0427-v-stiviano-01

0 comments:

Post a Comment