Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, April 14, 2014

The Coachella ni tamasha la sanaa na Music linalofanyika kila mwaka siku 3 za mwisho wa wiki kwa wiki 2 mfurulizo na hufanyika huko California,Colorado Desert.Tamasha hili huanza mida ya saa 3 asubuhi na kumalizika saa 12 jioni.
Na haya ndiyo matukio yakukumbukwa katika tamasha la Coachella 2014

Mc toka pande za Chicago,Chance the rapper kumleta jukwaani pop star Justin Bieber na kuimbia naye collabo yao ya track "Confident" .


 Tukio la Solange kumleta jukwaani Byeonce kwa kushtukiza alipokukuwa akitumbuiza wimbo wake wa "Losing You." 


Pharrell pia alitumbuiza na hits zake alizotengeza kuanzia "Get Lucky" ,"Blurred Lines" hadi ngoma yake gumzo ya "Happy,"Na baadaye aliwashusha mastaa kibao akiwamo Gwen Stefani akaimba "Hollaback Girl" na Snoop Dogg aliyechengua na "Drop It Like It's Hot".Pharrell pia aliwadondosha mastaa kama NellyBusta RhymesTyler the Creator ambao wote amefanya nao kazi.
 
Nas liyekuwa akisherekea miaka 20 ya albamu yake Illmatic aliwaacha hoi mashabiki waliohudhuria tamasha hilo kwa kumdondosha jukwaani mtu ambaye alishakuwa hasimu wake mkubwa miaka ya 2005,Jay Z.
 
 OutKast hii ilikuwa mara yao ya kwanza baada ya miaka 7 kuimba pamoja ikawa kama ni tukio la kihistoria na kama haitoshi wakawaleta jukwaani wanamuziki wenzao tokea Atlanta,Janelle Monae rappa Future . 

0 comments:

Post a Comment