Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, July 28, 2015

Mariah Carey
Mariah Carey sasa kuwekewa nyoota ya heshima.
Wahusika na mchakato wa uwekaj nyota a heshima wa Hollywood Walk of Fame wametangaza kumpatia nyota ya heshima mahiri Mariah Carey Aug. 5.Msemaji anayeshusika na Hollywood Walk of Fame amesema,Mariah Carey aliakiwa kupatiwa nyota hiyo ya heshima mwaka 2007 lakini kutokana na ratiba kupishana hawakuweza kukamilisha zoezi hilo.


Hollywood Walk of Fame ni njia ya miguu iliopo mjini Hollywood Boulevard na Vine Street huko Hollywood, Los Angeles, CaliforniaMarekani, ambayo hutumiwa kama sehemu ya maonyesho ya burudani. Imetiwa zaidi ya nyota yenye-pembe tano 2,000 ikiwa na majina sio ya binadamu mashuhuri peke yake bali hata yale ya wahusika wa katuni pia wamepewa nyota kwenye Hollywood kwa mchango wao katika tasnia ya burudani. Nyota za kwanza zilitolewa mnamo mwezi wa Septemba katika mwaka wa 1958 na kuwekwa kwenye njia ya miguu kwenye kona ya kaskazini mwa Hollywood Blvd. na Highland Ave.
Image result for mariah carey star walk of fame


0 comments:

Post a Comment