Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, July 8, 2015

 Puff Daddy
Puff Daddy anarudi tena kama alivyoanza.Ikiwa imepita kama miongo miwili tangu atoe albamu yake ya No Way Out 2,bosi huyo wa Bad Boy ametangaza kuja na albamu yake mpya aliyoipa jina No Way Out ikiwa ni muedelezo wa albamu yake aliyoitoa mwaka 1997.
Mwanachama mpya wa Bad Boys,Gizle katika kuthibitisha hayo aliongea habari hizo na  mtandao wa Rap-Up alipokutana na waandihsi wake katika sherehe za utoaji tuzo za ASCAP’s Rhythm & Soul Music Awards mwezi uliopita.

Gizzle alisema:“I’m working on Puff Daddy’s last album,”It’s called No Way Out 2. It’s a crazy project. I’m very honored to be a part of it. Nobody can make an album like Puff Daddy. I’ll be actually rapping on there too.”
Albamu ya Diddy No Way Out ya mwaka 1997 ilikuwa na ngoma kibao zilizofanya poa kama:I'll be missing you,Cant No body Hold Me Down,Pain,It's All About Benjamins rmx,Been Around the Worl nk.

0 comments:

Post a Comment