Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, August 24, 2015



T.I. Reportedly Owes Federal Government $4.5 Million In Unpaid Taxes

Rapa T.I. anatajwa kuwa na utajiri wa dola millioni 215.

Daily Mail Online wameandika rapa T.I. andaiwa dola 4.5 kama kodi aliyokwepa kwa miaka kadhaa.Katika kesi imefunguliwa huko Georgia mapema mwezi huu na mamlaka ya ukusanyaji kodi ya mapato nchini marekani IRS dhidi ya rappa T.I.ambaye jina lake kamili ni Clifford Harris,inasema rapa huyo na mkewe Tiny wanakabiliwa na kesi ya kukwepa kulipa kodi kwa miaka ya 2012 na 2013.
Rapa T.I mwenyeumri wa miaka 34 anatajwa kuwa na utajiri wa dola millioni 215 na kufuatia habari hiyo rapa huyo na timu yake wamesema wanaangalia kulimaliza tatizo hilo.
million.

0 comments:

Post a Comment