Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, February 28, 2014


 Da Brat Ordered To Pay $6.4 Million For Assaulting Former NFL Cheerleader Shayla Stevens
Hakimu wa mahakama huko Atlanta ameamuru rapa Da Brat kumlipa former NFL cheerleader Shayla Stevens dolla millioni 6.4 licha ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu gerezani..
Adhabu hiyo ni kufuatia tukio lamwaka 2007 la kumshambulia na kumjeruhi  Shayla Stevens katika nightclub moja huko Atlanta.
Baada ya tukio hilo Da Brat alikutwa na makosa kwani alimjeruhi vibaya mdada huyo na kutakiwa kutumikia kifungo cha miaka 3 gerezani na pia masaa 200 ya kufanya kazi za jamiii na miaka 7 ya kuwa chini ya uangalizi.
Da Brat ameakiwa kumlipa kiasi hicho kikubwa sana cha pesaShayla Stevens baada ya kugundulika kamsababishia kilema cha maisha.

0 comments:

Post a Comment