Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 3, 2014

 Chris Brown
Brown alikuwa mahakamani siku ya ijumaa huko L.A. kwa muendelezo wa kesi yake inayomkabili ya kushmbulia aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna.
Jaji wa mahakama ya Los Angeles,James Brandlin amemtaka Chriss Brown kuendelea na mafunzo ya kukabili hasira na maswala ya madawa ya kulevya kwa miezi miwili zaidi katika kituo cha Malibu treatment facility na hii ni baada ya kumaliza mafunzo hayo kwa siku tisini.
Maofisa wanaomuangalia Brown wamesema anaendelea vizurilakini hata hivyo kesi itasikilizwa tena April 23 ambapo ndipo itaamuliwa kama Brown atakwenda jela au la kwa kesi inayomkabili ya kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna .

0 comments:

Post a Comment