Mwigizaji mashuhuri kutoka Kenya,Lupita Nyong'o (31) amenyakuwa tuzo ya Oscar la mwigizaji msaidizi wa kike.Lupita Nyong'o amenyakuwa tuzo ya Oscar baada yakuigigiza kwa makini sehemu ya kuelezea masaibu ya Patseh katika filamu ya kitumwa ya ''12 Years A Slave.''Lupita Nyong'o ambaye ni binti wa professor Peter Anang Nyong'o ambaye ni member wa Kenyan Senate Incumbent amekua
BBC Swahili inaripoti,Baada ya kupokea tuzo hilo Lupita amesema " Haikwepi mawazo yangu kwamba hata dakika moja ya furaha katika maisha yangu ni shukran na maumivu makubwa kwa mtu mwingine.''
Mwingine ni Mwigizaji Jared Leto alienyakuwa tuzo la mwigizaji bora msaidizi wa kiume kwa jukumu lake la kuelezea maisha ya mwanamke aliye na jinsia mbili aliyekuwa na akiishi na virusi vya HIV katika filamu Dallas Buyers Club.Leto Alilazimika kupunguza uzani kwa kipindi kifupi ili kuigiza.
Sherehe ya kutolewa kwa tuzo hizo zimefanyika mjini Los Angeles nchini Marekani.
seneta peter anyang yoni
Jennifer Lawrence, "American Hustle"
Sally Hawkins, "Blue Jasmine"
Julia Roberts, "August: Osage County"
June Squibb, "Nebraska"
Fast fact: This is Lupita Nyong'o's first Academy Award nomination and win.
0 comments:
Post a Comment