Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 3, 2014

 0228_lil_wayne_tmz
Mtando wa TMZ unaripoti,rappa Lil Wayne andaiwakodi zaidia ya dolla millioni 12.
Taarifa kutoka kwa wahusika na mabo ya tax umeiambia TMZ kwamba Weezy hakulipa taxes miaka ya 2011 na 2012 ambapo mwaka 2011 pekee alikuwa antakiwa kulipa dolla millioni 5,843,952 na mwaka uliofutia dolla millioni 6,311,132.
Wayne ameshakuwa matatizoni katika maswala ya kutolipa kodi miaka ya 2008 na 2009 ambapo alikuwa anadaiwa kiasi cha dolla millioni 7 ambazo alizilipa mnamo kwaka 2012.
Vile vile Wyne ameshaakuwa matatani kisheria mara kadhaa ambapo kubwa ni mwaka 2012 alipompiga na kumuumiza pua mtoto wa Quincy Jones mahakamani ambapo ilibidi amlipe dolla millioni 2.2.
Wayne inasemekana ana utajiri wa kiasi cha dolla millioni 135.

0 comments:

Post a Comment