Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 31, 2014

Benzino
Benzino amekutana na mkasa wa kupigwa bastola siku ya jumamosi akiwa njiani kuelekea kumzika mama yake mzazi bi Mary Scott ambaye alifariki tarehe 20 mwezi March.Chanzo kimoja cha karibu kinadai Benzino kupigwa bastola ilitokana na kutokuelewana na mwanafamilia mmoja aitwaye Gai Scott.Benzino alikuwa akiendesha gari aina ya Dodge SUV ndipo ndugu yake huyo aliyekuwa akiendesha gari aina ya Bentley kuja mpaka usawa wake na kuanza kummiminia risasai,Taarifa zaidi zianadai Benzino ama the “Love & Hip Hop Atlanta” star na former owner wa The Source magazine ambaye jina lake kamili ni Raymond Scott,alipigwa risasi na  binamu yake aitwaye Gai Scott baada ya kutokea kutokuelewana baina ya wanafamilia.Baada ya tukio Benzino alikimbizwa katika hospitali ya karibu na tunataarifiwa anaendelea vizuri japo hakuweza kuhudhuria mazishi ya mama yake.Gai Scott alikamatwa na polisi baada ya tukio na anakabiliwa na kesi ya kutaka kuua kwa silaha.
  • Raymond Scott aka Benzino ni American hip hop media executive na ni record producer.Tangu mwaka 2012 ameshiriki katika VH1 TV series Love & Hip Hop: Atlanta.
  • Benzino amezaliwa July 18, 1965 (age 48),
  • 0 comments:

    Post a Comment