BBC swahili imeandika,Utawala wa jimbo Colorado nchini Marekani,umesema kuwa katika kipindi cha siku za kwanza thelathini tangu ukuzaji na uuzaji wa bangi kuhalalisha, umekusanya zaidi ya dola milioni mbili kama ushuru.Jimbo hilo ndilo eneo la kwanza duniani kuwahi kuhalalisha uuzaji wa bangi kwa matumizi wa starehe.Utawala wa jimbo hilo umesema kuwa ushuru huo utatumiwa kujenga shule.Kwa mujibu wa takwimu bangi inayokisiwa kugharimu dola milioni kumi na nne iliuzwa mwezi Januari, wakati sheria hiyo ilipoanza kutekelezwa.
Ruhusa uuzaji wa bangi na ushuru utaongezeka maradufu, ni moja kati ya masuala yaliyopogiwa debe na wanaharakati wanaunga mkono matumizi ya bangi katika jimbo Colorado.
Tazama watu wakiwa katika msululu wa kwenda kupata huduma ya bange:
0 comments:
Post a Comment