Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, March 13, 2014

Common Poster

Common ni rappa toka pande za Chicago moja kati ya wana hip-hop waliotamba na wanaendelea kutamba,Common alirelease first LP, "Can I Borrow A Dollar?"   
Common ni vegetarian.
alimvisha pete ya uchumba Erykah Badu.
yupo katika label ya Kanye West G.O.O.D. Music label.
Ameigiza katika filamu ya American Gangster (2007) akiwa na ma  star kamaRussell Crowe & Denzel Washington .

Eger Davis

 
 
 
Edgar Steven Davids ni mholanzi ambaye ni professional footballer. alianza kuonyesha makali yake kwa kuchezea timu ya Ajax, pia akaenda  Italy kuichezea Milan na Juventus na baadaye Barcelona. Edga amezaliwa March 13, 1973 (age 41)
  
QUINCY JONES
 
 Quincy Jones 2008.jpg  


  • Quincy Delight Jones, Jr. (amezaliwa tar. 14 Machi 1933) ni mwelekezi wa muziki, mtayarishaji wa rekodi, mpangaji muziki, mtunzi wa vibwagizo vya filamu, na mpiga talumbeta kutoka nchini Marekani. Katika kipindi cha makumi yake matatu ya shughuli za kiburudani, Jones amepata kushindanishwa katika tuzo za Grammy Award mara 79,[1] kashinda 27 Grammys,[1] ikiwemo na tuzo ya Grammy Legend Award mnamo 1991. Anafahamika zaidi na zaidi kwa kutayarisha albamu ya Thriller, ya mwanamuziki wa pop Michael Jackson, ambayo imeuza zaidi ya nakala milioni 110 dunia nzima,[2] na ndiyo mtayarishaji na mwelekezi wa wimbo wa hisani wa “We Are the World”.













    0 comments:

    Post a Comment