Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 17, 2014



Muimbaji mahiri wa muziki wa R&B,Chris Brown imeripotiwa amepelekwa jela mwezi mmoja baada kutokea uvunjifu wa sheria na utovu wa nidhamu vya mwanamuziki huyo.
Brown alikuwa huko Malibu katika kituo maalumu cha kurekebisha tabia alipokuwa akipata mafunzo ya kuzikabili hasira kufuatia kesi yake ya mwaka 2009 ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna.Brown alihukumiwa miaka 5 ya kuwa chini ya uangalizi  na masaa 1,400 za kufanya kazi ja kijamii.Brown pia anakabiliwa na kesi nyingine ya kumshabilia mtu huko DC mwezi October mwezi uliopita kesi ambayo itasomwa tarehe 17 mwezi April na endapo atakutwa na makosa atahukumiwa kifungo

0 comments:

Post a Comment