Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 18, 2014

 Chris Brown
Siku ya jumatatu march 17 Chriss Brown alitokea mahakami huko Los Angeles akiwa amevalia gwanda za jela za rani ya Orange akiwa ameongozana na mwanasheria wake,Mark Geragos.Brown alifikishwa mahakamani baada ya vitendo vya ukosefu wa nidhamu katika kituo cha Rehab ambapo taarifa kamili zinasema kosa la kwanza alikuwa karibu sana na mdada mmoja mhudumu,pili aligomea vipimo vya madawa ya kulevya na kama haitoshi kujisifia anaujuzi mkubwa wa kutumia visu na bastola.Brown aliondolewa kituoni Malibu Siku ya ijumaa.

0 comments:

Post a Comment