Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 25, 2014

Diddy Changes Name Back To Puff Daddy & Announces "MMM" Album
Sean "Diddy" Combs ametangaza kubadili jina na kulirudia jina lake la zamani,jina ambalo alilitumia kwa miaka mingi kiwa katika muziki,Puff Daddy,Diddy ametangaza uamuzi wa kulirudia jina lake la zamani wakati anatangaza mpango wa kuachia solo album yake ya MMM. Hivi karibuni Puff Daddy ameachia kipande cha upcoming music video ya "Big Homie," track ambayo iitaachiwa hivi karibuni. 
Puff Daddy kama mwanamuziki ameshafanya kazi nyingi zilizopfanya vizuri zikiwemo album yake ya kwanza ya mwaka 1997,No Way Out. mwaka 1999 Forever,mwaka 2001 The Saga Continues..., 2002 We Invented The Remix,2006 Press Play na 2010 Last Train To Paris,ambayo aliachia akiwa na Dirty Money (Dawn Richard na Kalenna Harper). 

0 comments:

Post a Comment