Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, March 25, 2014

Happy! Swizz Beatz, Alicia Keys, Ex-Wife Mashonda and Family Vacation Together
Mawswali mengi yametinga vichwani mwa watu wanofahamu utata uliowahi kutoke kati ya wake wa Swizz Beatz.
Maswali hayo yamejitokeza baada ya vyombo vya habari kupambwana vichwa vya habari visemavyo Swizz Beatz,Alicia Keys,Ex-Wife Mashonda watoka pamoja kwa Family Vacation
Haijulikani ilikuwaje ikawa hivi,je alikuwa ni  Alicia Keys aliyemualika Mashondaama Mashonda ndiye aliyemfuata Keys  home wakati miaka kadhaa ya nyuma alikuwa haisi kumlaumu juu ya uamuzi wake wa kumchukua aliyekuwa mumewe wa ndoa tangu  2004 mpaka 2008
Alicia na Mashonda sinaonekana wamemaliza tofauti zao na kukipa kipaumbele kile kinachoitwa  putting family first baada ya kukutwa wakila bata pamoja na Swizz Beatz na watoto wao wote week end huko St. Barts.
Swizz Beatz Keys walifunga ndoa mwaka 2010 na wamebarikiwa mtoto mmoja,Egyp,Beatz pia ana watoto wawili na mama wengine.

0 comments:

Post a Comment