Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 9, 2014

50 Cent Ordered To Pay Sleek More Than $16 Million
Mtandao wa Radar Online unaripoti hakimu anayendesha kesi inayomkabili rapa 50 Cent amemuamuru rapa huyo kuilipa kampuni watengenezaji wa headphone za Sleek,zaidi ya dolla millioni 16 million.Tatizo hili kati ya 50 Cent Sleek lilianza mwaka 2013.50 Cent alikuwa akifanya kazi na watengenezaji hao wa headphones za Sleek na aliwekeza kiasi cha dolla millioni moja.Baadaye 50 Cent aliachana na kampuni hiyo bila kufuata taratibu na kufanya kazi na kampuni nyingine na kutengeneza headphone nyingine za Sync by 50 ambapo madfai ya Sleek yanasema 50 ametumia mtindo kama wao na zinafanania na zaidi wamemshitaki kwa kuuza siri za namna ya utengezaji wa bidhaa hizo.
Tazama headphones hizo hapo chini:
Sleek                                                                 Sync by 50
  

0 comments:

Post a Comment