Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, April 9, 2014

Lord Jamar Says Jay Z, 50 Cent Would Not Let Their Woman Get Disrespected Like Kanye West Has
Akiongea na Vlad TV mc wa Brand Nubian ametilia mkazo zaidi tukio lililomhusisha kijana wa miaka 18-aliyemzingua mke mtarajiwa wa Kanye West na kusema alimuona ni mdhaifu.“Rappa huyo ameongeza kusema Kanye amebaguliwa na amedhalilishiwa mkewe na bado akalipa $250,000 to,” Lord Jamar said.Lord amesema si rahisi kwa dogo yeyote kumtolea kauli za kibaguzi ama dharau mke ama demu wa rappa kama Jay Z, Game,50 Cent ama Gucci Mane sababu anajua atakachkipata ukiachilia mbali malipo.Rappa Lord Jamar ametoa angalizo kwa marappa kuwalinda ipasavyojuu ya wake zao na wasiruhusu kubaguliwa na kudhalilishwa.

0 comments:

Post a Comment