Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, April 8, 2014

Kanye West and Kim Kardashian
Harusi ya ya mastaa ambao wapo juu na ni maarufu inaripotiwa kuwa itakuwa ni ya gharama sana.Dolla 125,000 kutmika kwa kila mgeni kati ya waalikwa wao 200 linaripoti Grazia UK reports StyleCaster.Kama si mzuri katika mahesabu ni kwamba itatumika zaidi ya dolla 25 million ambapo wageni waalikwa watapokelewa na vijizawadi vyenye nakshi za dhahabu,albau ya picha ambavyo  kila kimoja kinagharimu dolla 1,000,chupa za Bollinger champagne ambaozo ni dolla 500 kila moja na vocha za dolla 250 kwa kila mgeni kuipatia mahitaji binafsi hapo hotelini .Hapo hatujaongelea misosi,gauni la bibi harusi na mengineyo.
Katika harusi hiyo tarajia kuwaona maStar kama Robin Thicke, Jared Leto, Jonah Hill, Anna Wintour, Oprah Winfrey, Will and Jada Pinkett Smith, Prince, Karl Lagerfeld, Barack and Michelle Obama, Beyoncé and Jay Z nk.

0 comments:

Post a Comment