Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Saturday, May 3, 2014

1.T.J. Jackson mjomba wa Michae inasemekana alikuwa mpenzi wa kwanza wa  Kim K.
T.J. Jackson  
 
 2. Damon Thomas mume aliyesahaulika wa Kim,ni music producer ambaye walioana mwaka  2000-04.
 

Damon Thomas 

3.Nick Cannon na Kim Kardashian 2006-07. 
 
 Nick Cannon
 
4.The Game alidhaniwa anatoka na Khloe Kardashian lakini akafunguka na kusema alitoka na Kim.

The Game 

5.Ray J. One anabaki na rekodi ya kufanya mkanda mweusi na Kim Kardashian.
Ray J 
 
6. Baada ya Ray J Kim alienda kwa NFL star Reggie Bush.
 Reggie Bush 

7.Baada ya NFL star Reggie Bush alichukuliwa na Miles Austin mchezaji wa Dallas Cowboys
 
 Miles Austin  

8.Kim Kardashian's second husband,Kris Humphries,ambaye walioana na kudumu kwa siku 72 tu
Kris Humphries 
 
9. Kanye ndiye aliyefanikisha kumpatia mtoto na kama haitoshi atamuoa.
Kanye West

0 comments:

Post a Comment