Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, January 19, 2015


 

Baba wa rappa Drake,Dennis Graham amesema anatafuta mdada mkali wa kumshirikisha katika singo yake mpya ambayo itakuwa ni singo ya nne.
Dennis Graham hapo hawali alikuwa mwanamuziki alieyanza mwaka 1962 na kumpa msukuma mwanaye Drake aingie katika muziki amsema sasa anarejea katika fani hiyo ya muziki.
Akihojiwa na jarida la XXL la nchini marekani Graham alisema:"I am in search of a classy female rapper to collaborate with me on my new single," "Not looking for ghetto style rapper serious inquiries only please DM me."

0 comments:

Post a Comment