Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, January 15, 2015

Pitbull the rapper in Sydney, Australia (2012).jpg

Armando Christian Pérez ambaye anafahamika kwa jina la kisanii Pitbull amezaliwa January 15, 1981,Ni muimbaji wa  muamerican toka maeneo ya MiamiFlorida.
Armando Christian Pérez (born January 15, 1981), better known by his stage name Pitbull, is an American rapper from MiamiFlorida.Mwaka 2004, Pitbull aliacha albamu yake ya kwanza aliyoipa jina la M.I.A.M.I. (Money Is A Major Issue), chini ya studio za  TVT Records;album ambayo ilipikwa na  producers Lil Jon na Jim Jonsin. Pitbull baadaye aliachia albamu ya pili mnamo mwaka 2006  El Mariel, na ya tatu ilikuwa The Boatlift, ya mwaka 2007.[4] Albamu yake ya nne aliitoa mwaka  2009,Rebelution iliyokuwa na ngoma kali kama "I Know You Want Me (Calle Ocho)".

Pitbull's mwaka 2011 aliachia album Planet Pit,ambayo ilikuwa na nyimbo kama  "Give Me Everything"aliyowashirikisha Ne-yo na Afrojack,ambayo ilishika namba moja katika chati za Billboard Hot 100. The song reached #1 worldwide and featured fellow artists Ne-YoNayer, and Afrojack. Pitbull kw mara nyingine aliachia albamu "Timber" mwezi October mwaka 2013.
Pitbull alichaguliwa na FIFA kutumbuiza katika sherehe za kombe la dunia 2014 kuimba wimbo "We Are One (Ole Ola)" na Jennifer Lopez na Claudia Leitte, wimbo huo ulikuwa ndiyo wimbo maalumu kwa mashindano hayo ya 2014 FIFA World Cup.[5]

0 comments:

Post a Comment