Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, February 3, 2015

Meek Mill and Nicki Minaj

Nicki Minaj na mpenzi wake mpya,rappa Meek Mill,hivi karibuni wamepiga picha wakibusiana kuonesha wapo tayari kuweka hadharani mahusiano yao.
Rappa wa kibao“Anaconda” alipost katika akaunti yake ya Instagram picha inayomuonyesha akibusiwa na mpenzi wake Meek Mill jana jumatatu ikiwa ni miezi kadhaa imepita mahusiano yao yakitajwa katika monong'ono.
Nicki ameingia katika mahusiano ya kwanza tangu kuachana na aliekuwa mpenzi wake kwa miaka mingi,Safaree Samuels mwaka uliopita.
Nicki Minaj na Meek Mill wameshirikiana katika nyimbo 2,“Big Daddy” na“Buy a Heart” ambazo zinapatikana katika albamu ya Nicki The Pinkprint.
Tazama piocha za wapenzi hao katika pozi mbbalimbali hapo chini:
   

0 comments:

Post a Comment