Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, February 10, 2015

Meek Mill Party Justin Bieber House

Week end iliyoisha rappa Meek Mill alikodisha jumba la kifahari la vioo lililokuwa limekodiwa na Justin Bieber hapo awali kwaajili ya pati maalumu ya kusherekea tuzo za Grammy.Pati ikiwa inaendelea walifika eneo la tukio baada ya majirani kuripoti kuna fujo na kelelle mtaani.
Mastaa kibao wakiwamo Nicki MinajFrench MontanaKhloe KardashianChris Brown na Justin walihudhuria pati hiyo ambayo baadaye mida ya saa saba na nusu za usiku  ilivunjika baada ya badhi ya waalikwa ambao ni washakaji wa rappa Meek Mill kuanzisha ugomvi uliopelekea kurushiana kwa makonde na hata kurushiana vitu.
Taarifa zinasema pati hiyo ilihudhuriwa na watu takribani 1000,na shughuli ya polisi kuwatawanya watu iligharimu zaidi ya masaa matatu.
Hakuna aliyekamatwa kutokana na vurugu hizo.







0 comments:

Post a Comment