Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, February 11, 2015

Snoop Dogg
Snoop Dogg ana mtazamo tofauti kuhusu kinachoendelea katika muenendo mzima wa tuza za Grammys.Rappa huyo kutoka West Coast amwachana waandaaji watuzo za Grammys kwa kuupotosha muziki wa Hipo hop na kuwapa nafasi wasio na uhalisia wa na muziki huo.
Snoop Dog amesema hayo na kutoa mfano kwa rappa mweupe, Macklemore ambaye ana tuzo nne za Grammys yaani ni zaidi ya ma rappa borra kama  Tupac, Notorious B.I.G., DMX, Busta Rhymes, Rick Ross, Run-D.M.C., Kendrick Lamar, Public Enemy na hata Snoop mwenyewe.
Snoop Dogg ambaye hajawahi kushinda tuzo hiyo ameongeza kusema inatakiwa kutoa nafasi kwa wanaofanya Hiphop ya kweli

0 comments:

Post a Comment