Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Friday, July 17, 2015

Chris Brown's Home Invaded By Club Promoter, Officials Say

Polisi wa marekani wanaamini kwamba ma promota wa Club wanahusika moja kwa moja na uvamizi uliofanyika katika jumba jipya la Chris Brown.
Wanausalama wanasema wanauhakika na wavamizi hao kuwa ni mapromota wa Club moja ambao waliwahi kufanya makubaliano na kumlipa Chris Brown dolla 50,000 kwaajili ya club appearance na Brown hakutokea.Wanausalama hao wamesema hayo kufuatia wavamizi hao kuingia nyumbani kwa muimbaji huyo na kumwambia shangazi wa Brown kwamba wanajua hapo ni nyumbani kwa Chris Brown hiivyo wamefata pesa yao waliyomlipa muimbaji huyo kwaajili ya club appearance na hakutokea na wakamtaka awaonyeshe Safe ya kuhifadhia pesa
at a nightclub and demanded to know where the safe in the house was located.

0 comments:

Post a Comment